Saturday, January 10, 2015
BAADA YA LIL WAYNE SASA ZAMU YA RICK ROSS, NA HIKI NDICHO ALICHOAMUA KUKIFANYA
Rappa Rick Ross na Meek Mill walitembelea mchora tattoo maarufu Unroyal Ink Tattoo Studio ili kuongeza wino kwenye sehemu tofauti kwenye miili yao.
Rick ross ameongeza tatto 7 usoni kama Logo ya timu ya kikapu ya Miami Heat na logo ya MMG huku Meek Mil akiweka Logo ya MMG kwenye kiganja cha mkono wake.
Comments System
facebook