Mheshimiwa
hakimu Jamhuri tunaifahamisha Mahakama kwamba hatuna haja
ya kuendelea na kesi dhidi ya washtakiwa, maombi yetu tunawasilisha
chini ya kifungu cha sheria namba 91(1) cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa
ya Jinai (CPA) ya mwaka 2002,” - See more at:
http://jukwaalahabari.blogspot.com/2014/08/mahakama-yawaachia-huru-wachina-wa.html#sthash.m51qmUeH.dpuf
Mshambuliaji wa West Brom Saido Berahino ameshtakiwa kwa kosa la kuendesha gari akiwa amelewa. Mchezaji huyo mwenye asili ya Burundi alikamatwa na polisi wa Cheshire alfajiri ya Oktoba 22 mwaka jana.Atafikishwa katika mahakama ya North Cheshire Januari 19. Mchezaji huyo wa kimataifa wa England wa chini ya miaka 21, amepachika mabao 13 katika mechi 24 alizochezea West Brom msimu huu. Amekuwa akihusishwa na kuhamia timu kubwa zinazocheza ligi kuu ya England. Kiwango chake kimekua kiasi cha kuitwa katika timu ya taifa ya England mwezi Novemba.