Tuesday, January 6, 2015
PICHA: MATONYA AZIDISHA ULEVI HADI KUPOTEZA FAHAMU
Msanii wa bongo flava Seif Shabani "Matonya" amefungua mwaka 2015 kwa aibu kubwa baada ya picha kuvuja kwenye mitandao ikimwonyesha akiwa amelewa chakari hajitambui, Picha hiyo inasemekana ilipigwa jana maeneo ya Kunduchi jijini dar es salaam, na uvumi ukaenea eti Matonya amerudisha namba, nilipojaribu kucheki na Matonya sikuweza kumpata ikabidi nicheki na jirani yake ambaye pia ni Star wa Bongo flava "Richy One" yeye akatoboa kuwa jamaa ni mzima wa afya na aliongea nae asubuhi ya leo ila anahisi labda watu wabaya watakua walimuongezea kilevi kingine kwenye Pombe yake, ama kweli Pombe sio Chai....
Comments System
facebook