Thursday, January 22, 2015

Diamond Platnumz ameingia tena kwenye Top 10 ya Trace TV ya Ufaransa

Mtu wangu wa nguvu kama ulikuwa na hamu ya kufahamu video za Afrika zinazofanya vizuri duniani na iliyofanikiwa kuchukua nafasi kwenye countdown za nchi kubwa.
kwa mara nyingine tunajiunga na kituo cha TV cha kimataifa cha Trace Urban cha Ufaransa, ambacho leo Jan 21 kilitoa list ya top 10 ya nyimbo kali za Afrika ikiwemo ya Diamond Platnumz iitwayo Nitampata Wapi.
10.Jose Chameleone- Wale Wale
9.Solidstar- My Body
8.Mi Abaga- Bad Belle ft Moti Cakes
7.Wizkid- Ojuelegba
6.Davido ft Dj Arafat- Naughty
5.Diamond Platnumz- Nitampata wapi
4.Seyi Shay- Crazy ft Wizkid
3.AKA- All Eyes On Me ft Burna Boy, Da Les, JR
2.Timaya- Sanko
1.Burn Boy- Check and Balance

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.