baba wa marehemu geez mabovu mzee ally amemtembelea producer lamar
kwenye studio yake jijini dar-es-salaam na kuzungumza nae kuhusu kazi
zilizoachwa na mwanae katika mikono ya producer huyo
mmiliki wa studio ya fish club
lamar ameongea na makorokocho.co kuwa geez mabovu aliacha ngoma saba nazo zitatoka kwa njia ya album
itakayo uzwa
Lamar: nina mpango wa kuachia
wimbo mmoja kutoka kwenye album hiyo.nyimbo zilivyo kamilika ni saba
najaribu kuangalia jinsi ya kuitoa album ambayo tutaweza kuiweka mkito