Thursday, January 22, 2015

New Vdeo-- Toka Kwa Y-ton ft Barnaba-Mama

Kila napozungumzia wadogo zetu ambao kama wakipata nafasi watafanya nafasi watafanya vitu vikubwa ni pamoja na Y Tony nimeshuhudia show zake kadhaa ambazo zinaonyesha jitihada zake na namna anavyobadilika siku hadi siku...Leo katuletea video yake mpya inaitwa Mama,imefanywa na director Hanscana, dakika hizi 4 zipo kwa ajili yetu kutazama kazi ya Y Tony ambaye ukali wa singo yake ya ‘Sijazoea Masebene’ umemfanya aitwe ‘Y Tony Masebene‘.

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.