Idriss Sultan na Ommy Dimpoz leo kwa pamoja wametembelea kwenye shule ya Sekondari waliyosoma pamoja inaitwa Mbezi High School iliyoko maeneo ya Mbezi jijini Dar es salaam, Idriss na Ommy waliongozana na Mtangazaji wa Clouds fm Millard Ayo ambae leo ni birthday yake.
Part 2.