Mara nyingi tumeshuhudia ugomvi kati ya
wapenzi, simu za mkononi ni moja ya sababu kubwa ambayo imekuwa ikitajwa
kama sababu ya ugomvi siku hizi.
Beyonce ni mke wa Jay Z, story kubwa zaidi mitandaoni kwa sasa ziko mbili, kwanza ni zile romours za ujauzito wa staa huyo, pili ni kuhusu Bey kunaswa na kamera akiangalia kile ambacho mumewe anakifanya kwenye simu yake!
Hapa nimekuwekea pichaz za matukio mbalimbali ya Beyonce akiangalia simu ya mumewe, lakini kumbe hata Jay pia aliwahi kunaswa akiangalia simu ya Beyonce.
Hii ilikuwa jana, kwenye mechi ya Basketball kati ya Houston Rockets na Brooklyn Nets, Jay na simu yake Beyonce hakuwa mbali.
Hii ilikuwa siku za nyuma, Jay yuko busy na simu yake, Bey kama anafuatilia kwa pembeni mume wake anachokifanya.