VIDEO: EDU BOY FT BELLE 9 - YES OR NO (OFFICIAL VIDEO)
Rapper Edu Boy leo mchana ameachia video yake ya kwanza ya ngoma ya Yes Or No aliyomshirikisha RnB Singer Belle 9, video hii imepigwa jijini Dar es salaam pande za Ubungo chini ya Director mkali nchini Nick Dizzo