Wednesday, January 21, 2015

Lil Wayne kutoa mixtape rasmi kwa ajili ya kuomba msamaha mashabiki

Wakati album yake ya The Carter V inasubiri tarehe ya kuachiwa rasmi, Lil Wayne ameamua kuomba msamaha kwa mashabiki zake kwa njia tofauti pale ambapo ameamuwa kuwapa  mixtape inayoitwa “Sorry For The Wait 2″.Inasemekana katika mixtape hiyo Christina Millian, ambae story kitaani zinadai kuwa ni dem wake tayari ana shavu ndani ya mixtape hiyo, ikiwemo remix ya ngoma aliyoifanya Beyonce “Drunk in Love” na ile club banger kutoka kwa Bobby Shmurda.Katika mixtae hiyo, inasemekana ndani yake wataskika Drake, 2Chainz, Mack Maine na wengineo.Katika exclusive interview aliyoifanya Christina Millian na Hiphopdx alitgibitisha juu ya kuwepo kwa mixtape hiyo na kusema” He is Coming right back.”

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.