Baada ya Taarifa kusambaa kuwa eti Mali za Kigogo Mbunge Captain John Komba ikiwemo nyumba ya kuishi fremu za biashara na kiwanja kikubwa kilichotengwa kwa ajili ya kituo cha mafuta maeneo ya mbezi Tangi Bovu ilidaiwa kuwa vyote hivyo vitapigwa mnada, na hiyo inatokana na Kigogo huyo kushindwa kulipa deni analodaiwa na benki ya CRDB, Sikiliza You heard kama ilivyoruka leo ndani ya Power Break Fast ya Clouds fm