Kwa wakati huu East Coast Team chini ya Crazy GK, Mwana Fa, Ay, Snare na Buff G wako chimbo wakijipanga kurecord ngoma itakayowarudisha pamoja kwenye Game, kwa mujibu wa mwana Fa amefunguka kuwa Producer John Mahundi aliyetengeneza "Hii Leo" Hit song ambayo ilisumbua sana mwanzoni mwa miaka ya 2000, timu hiyo nzima ikikutana kinachotokea ni nini?