Tuesday, January 6, 2015

Mchuano Mkali:Wema Amtupa Kule Zari.....

Staa wa filamu Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ akipozi.
Kumekuwa na maneno mengi juu ya nani mzuri kati ya staa wa Uganda, Zarinah Hassan ‘Zari’ au ‘The Boss Lady’ na Wema Isaac Sepetu ‘Madam’. Wema ametembea na Diamond na sasa Zari anadaiwa kuchukua uskani. Ijumaa Wikienda limechukua jukumu la kumaliza ubishi ambapo lilibandika swali hilo kwenye mitandao ya kijamii ya Instagram, Facebook na Twitter. Maelfu ya mashabiki wao walipata nafasi ya kutoa ya moyoni. Majibu yaliyopatikana pima mwenyewe, ujiongeze.



Paul Kwere: Madam yupo juu.
Sulaiman Bongoland: Wote mama…(tusi).
Hafidh Abdul: Mkali mke wangu tu, tupilia mbali hao.
Saleh Hamis: Tafuta mtu wa kumfananisha na Wema Sepetunga ni kiumbe kingine.
Othumani Tabaki: Mmetoka kwa Diamond na Ali Kiba, sasa mmehamia kwa Wema na Zari.

Justine Myovela: Wema hana uzuri wowote ni feki kwa kila kitu hamfikii Zari ni natural na pia ana mtonyo wake hategemei kuhongwa. Zari ni kiboko ya mademu wote wa Bongo Movie.
Severini J. Shirima: Uzuri wa mtu ni tabia siyo sura.
Furaha Swillah: Nadhani hilo swali la Diamond.

Edward Charles: Ili umjue mchezaji f’lani ni mzuri, siyo umkute barabarani amevalia jezi na viatu. Mchezaji mzuri uwanjani bana.
Abdallah Jumaa Kivuma: Edward nimekulewa mzazi.
Suley Dide: Hakuna wa afadhali wote potelea mbali na mkumbuke wazuri wote wameshaolewa wapo kwa waume zao.

Staa wa Uganda, Zarinah Hassan ‘Zari’ au ‘The Boss Lady’ akipozi.
Jose Mrema: Mke wangu ndiye mzuri.

Bariki Kamendu: Duniani wote sisi ni wazuri, hakuna mbaya.

Abubakar Waissa: Uzuri wa gari ni injini.

Amina Abeidi: Yaani pale Zari ndiyo amezaa, niambie kipindi hana mtoto hata mmoja alikuwaje, acheni masihara bwana Zari jembe.
Zaitun Abbas Bhai: Acheni kumponda Wema. Huyu ni wetu wa nyumbani. Huyo Zari kajitengeneza hayuko natural. Wema ni natural hajafanya upasuaji wa mwili. Watu wanaomfahamu Zari wanatuambia anajitengeneza sana.

Shylina Mohamed: Zari mzuri, acheni majungu. Kwanza hapo ana watoto lakini kama hajazaa vile, sasa utamfananisha na Wema?
Asia Issa: Wema juu, Zari tupa kule.
Winfrida Armack: Uzuri anaujua Dangote (Diamond).
Zaituni Salimu: Mungu hakuumba mtu mbaya!
Baraka Baraka: Hakuna jipya.

Riam Mariy Riam: Wemaaa…juuu…
Tito Mwakipesile: Anajua Dangote..!
Jizzo Alphayo: Aliyeandika hii page ndiye mzuri.
Connor John: Zari balaaa…

Xavery Handsome Pig: Sidhani kama mnakosa vya kufanya.
Milka Paul: Wema kiboko.
Liz Mwakipesile: Mimi.
Jasmeen Johnson Lyazar: Mimi.

‘Zari’, ‘The Boss Lady’ akiwa na 'Diamond Platnumz'.
Jemmy Ndishna: Mzuri mimi.

Twalib Omar: Dah Zari mambo mbaya.

Sarah Erasto: Wema.
Andrew Kampambe: Diamond ndiye anajua.
Alphan Abubakary: Maswali ya Diamond msiwe mnatuuliza sisi.
Lina George: Zariii…

Nasma Abdul: Wema.
Victor G Uiso: Wote walewale tu.
Albert Moshi: Dah! Tatizo uzee umewadia, now wanatumia uzuri wa dukani. So wako sawa.
Revocatus Antoniy: Wema.

Kashaigiri Richard: Wote walewale tu.
Zainabu Ally: Wema ni shida.
Mamuu Omary: Uzuri wa tabia, sura au uzuri wa wapi?
Ramsey Murason: Uchochezi huo. Najipita tu.
Nasser Malota: Zari ni mzuri sana.

Alex Johanes: Zari a.k.a The Boss Lady ndiye mkali.
Nisamehe Vuli: Hakuna mzuri.
Msofe Kingston: Zari yaani kumpata pia ni zali.
Neshi Kitiri: Wema.

Nico Mtei: Sijaona.
Oliver Benson: Kila mmoja Mungu kamuumba alivyotaka.
Happy Mshama: Wema.
Mary Lyanda: Wema pini.
Bahati Nicholaus: Mh! Wote wako sawa tu.
Rosemary Digra: Zariii.

Abubakar Waissa: Sura siyo roho.
Abubakar Waissa: Mzuri pesa.
Hellen Elias: Wema. 


Wema Isaac Sepetu akiwa na 'Diamond Platnumz'.


Godson Juakali: Wote sawa tu!
Antilda Ndege: Wema is cute bana. Ukweli ndiyo huo.
Kims Kims: Sepetunga ni kwereee.....juu miaka 10,000,000.
Yaassin Ridhiwani Riziki II: Wekeni wazi uzuri wa namna gani maana hakuna binadamu mbaya!
Barak Sanga: Aulizwe Nasibu (Diamond) siyo sisi...

Sahamo Morgan: Ndiyo maana mkaambiwa lazima ujue kutofautisha kati ya + na msalaba au x na kuzidisha. Pia kuna tofauti kati ya 3x1 na 1x3.
Kelvin Steven Mmari: Tujivunie vya kwetu bana!
Baldie James: Chema hujiuza na kibovu hujitembeza... ila swali hilo muulize Diamond.
Haji Upete: Hayatuhusu.

Chagula Mihayo: Kamuulizeni aliyetembea nao...
Mariam Luoga: Wote sawa.
Aisha Kassim: Wema ni mzuri bwana. Mnamsifia Zari wakati hamjawahi hata kumuona zaidi ya kwenye simu.

Theresia Ismail: Hakuna jipya.
Mwanaisha Ally: Wema ndiye mpango mzima.
Abdallah Jumaa Kivuma: Zari mashine weweee...
Micheal Sweya: Zari.

Mbarak Zaki: Kwanza huwezi kufananisha Zari na Wema.
Mathias Mathias: Zari.
Asia Issa: Wema mzuri.
Sijali Mihayo: Yote michepuko.

Asia Issa: Wema juuu sana miaka 100,000.
Aziza Bakari: Wemaaa.
Sarah Masegenya: Wema kifaa wanaosema Zari wanachachawa na ngozi.
Hamza Msonga: Zari ni habari nyingine.

Mario Robert: Zari mzuri, Wema tupa kule.
Amos Supila: Uzuri wa mwanamke siyo urembo ni tabia.
Rahma Hassan: Mimi najikubali mwenyewe.
Sin Q Hassan: Madam yupo vizuri.

Odetter Sezary: Mzuri pesa tu.
Nehma Mudy: Madam ni mkali.
Nalfat Mohammed: Madam wa ukweli.
Mariam Mbughi: Wema.
Layd Smile: Madame.

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.