Msanii wa Uganda Weasel na mpenzi wake Samira wamepata mtoto wa kiume, Kaka wa Weasel ambaye ni msanii mkuwa pia uganda Chameleone amempongeza mdogo wake na kuitakia mema familia hiyo tarajiwa, Chameleone na Weasel waliwahi kuwa na beef kwa muda mrefu sana na bado haijafahamika beef lao limekwisha vipi.