Mwigizaji na mwanamkizi, Zuena Mohammed 'Shilole' ambae ni mama wa watoto wawili,kama mzazi leo hii amewandikia ujumbe mzito watoto wake mara baada ya kubamdika picha yao hiyo hapo juu.
“Hawa ndo wananifanya mm naenda resi kila siku! Nawapenda sana watoto wangu! Rahma na joyce! Shule ndo zishafunguliwa mkasome! Mtimize zile ahad zenu! Hahahahaah Rahma kaniahid eti ataninulia private jet! Wakati Joyce kaniahid kunijengea nyumba yenye kila kitu ndani! Hahhahahhh wanangu wanipa raha sana! Kuzaa raha jaman”- Shilole alimaliza
Ujumbe mzuri sana huu!!