Saturday, January 10, 2015

Riyama Ampongeza Shamsa Kuibuka Mshindi kwa Mwaka 2014


Hongera sana mdogo wangu kwa ushindi mwaka 2014 #chausiku Nakuombea Kila la kheri katika mwaka huu wa 2015 uzidi kufanya vizuri zaidi inshallah amin Nakupenda sanaaaaaaaaaa na kukabidhi rasmi mikoba mamie".


Riyama aliyaema hayo baada ya kubandika picha hiyo  wakiwa ndani ya studio za redio Clouds FM mara baada ya filamu ya Chausiku iliyochezwa na mwanadada Shamsa Ford iliyotoka miezi ya mwishoni  mwa mwaka jana, kutangazwa ndio iliyoshika namba moja huku filamu ya Kigodoro ikishika namba mbili.

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.