Mapema jumapili hii BROWN alikua aki perform katika ukumbi wa San Jose Night Club mida ya saa 1:30 AM,watu walionekana wenye furaha wakifurahia show hiyo ya mkali wa hit song ya LOYAl ghafla ikasikika milio ya risasi kitu kilicho msababisha mpaka BROWN mwenyewe ku panic.....
Chanzo cha vurugu hizo bado hazija julikana,na polisi wanafanya uchunguzi.