Monday, January 12, 2015

DUH....SHILOLE UWO MWILI UNAUPELEKA WAPI....???


Hivi karibuni msanii huyu wa kizazi kipya akiwa ana tumbwiza katika moja ya tamasha alionekana mwili kuongezeka tofauti na siku za nyuma na pia kasi yake ya kushambulia jukwaa kupungua.kitu kilicho wapa watu wengi maswali ya kujiuliza.
Walisikika baadhi ya mashabiki walio hudhuria show hiyo wakisema
"mbona hafanyi kama tulivyo zoea"? akasikika mwingine akimjibu "kanenepa sana ndio maana"
Msanii huyo ali perform ngoma zake zote kali ikiwemo hii mpya ya MALELE

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.