Tuesday, January 13, 2015

YOU HEARD: CHIDI BENZ AMSHUSHIA KICHAPO PAPARAZI

Mpiga picha wa Mtandao flani jina kapuni amemlalamikia msanii wa Bongo flava Chidi Benz kwa kumpiga mitama na kumdhalilisha nje ya Club maarufu jijini dar es salaam "Maisha Club" akisimulia tukio Paparazi amedai kuwa siku ya tukio tarehe tano mwezi huu January alikutana na msanii huyo kwenye maegesho ya magari ya Club hiyo akamwomba Chidi benz wafanye mahojiano ndipo msanii huyo akatoka kwenye gari na kuanza kumshambulia kwa kipigo, sikiliza You Heard hapo chini kama ilivyokua kwenye kipindi cha Power Break fast ya Clouds fm ...

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.