Mwishoni mwa mwaka jana Husen Machozi alihojiwa na Gossip Cop Soudy Brown juu ya picha zilizo enea kwenye mitandao ya kijamii zikimwonyesha akiwa kwenye tukio linalofanana kwa asilimia mia moja na ndoa, Husen Machozi alikanusha tetesi hizo na kudai kuwa zile picha zilikua za movie aliyokodiwa kuigiza, sasa leo kwenye Gazeti mwanadada huyo anayeonekana anaolewa amejitokeza na kudai kuwa aliolewa kweli na anadai talaka yake
sikiliza You Heard hapo chini