Tuesday, February 10, 2015
#VIDEO - Rosernberg Asema Kanye West Amechemka Raundi Hii Kumzingua Beck
Mpaka sasa kila mtu anajua na ameona kila kilichotokea kweney grammy awards Jumamosi 8 Februari, Kanye West alifuta mic kupinga ushindi wa Beck wa tuzo ya "Albamu ya Mwaka" ambayo alimshinda Beyonce.
Baada ya Rosenberg kurudi kutoka Los Angeles ameeleza kwanini raundi hii Kanye West amechemka kwa maamuzi aliyochukua, amerudia alichokifanya kwenye VMA kwenda kwenye jukwaa na kupinga tuzo aliyokuwa ameshinda Taylor Swift... check video akimchana........
Comments System
facebook