Kuna wanaume wataipenda hii sana……Utafiti mpya unasema ,
wanaume wanaofanya mapenzi na wanawake wengi, wanaume hawa kwa kiasi
kidogo wako hatarini kupata saratani inayoitwa prostate cancer.
Watafiti
wamegundua wanaume ambao wana wanawake zaidi ya 20 wanaofanya nao ngono
wanaondokana na kuwa hatarini kupata prostate cancer kwa asilimia 28.
Na wanaume waliolala na wanawake zaidi ya 20 wamepunguza nafasi ya kukua kwa saratani mbaya kwa asilimia 19.
Utafiti
huo umeendelea kueleza kutofanya kabisa inaongeza nafasi ya kupata
saratani, Uwiano nyuma ya utafiti huo ni kwamba tabia ya kufanya ngono
inaweza ikatoa kwa kiasi kikubwa chemicals zinazosababisha saratani hasa
zile zinazokaa kwenye mbegu za kiume.
Utafiti umesema kujichua (masturbation) na kufanya mapenzi sana na mpenzi mmoja haisaidii.
Alipoulizwa kwamba eneo hilo la afya litashawishi wanaume
kufanya ngono na wanawake wengi katika maisha yao ili kuepuka kupata
saratani hiyo ya prostate cancer.
Profesa
Marie-Elise Parent alijibu "Hatujafika bado, inawezekana kwamba kuwa
na wanawake wengi kimapenzi ikasababisha ukafanya ngono sana, kitu
kitakachokuzuia kupata prostate cancer, kwa sababu kila mwanamke mpya
unavyokutana nae unakuwa unahamu ya kufanya nae mapenzi tofauti na yule
unaefanya nae kila siku, ni kitu kipya unaona, hata kufikia kilele
unafikia kwa haraka, kwa hiyo kwa kufanya hivyo mara nyingi inakusaidia
kutoa chemicals zilizopo kwenye mbegu za kiume ambazo zinaweza
kusababisha prostate cancer.
Utfiti huo ulitolewa kupitia jarida la journal Cancer Epidemiology.