Wednesday, August 31, 2016

Huenda Rayvanny Akamuonyesha Maajabu Mama Yake.


Kama ulikua hujui mama yake Rayvanny anatajwa kuwa supporter mkubwa wa kazi za mtoto wake. Rayvanny ameiambia Makorokocho TV jinsi gani mama yake amekua na mchango mkubwa kwenye game yake, katika kuonyesha anaukubali mchango huo hitmaker huyo wa ngoma ya Kwetu ameahidi kufanya kitu kwa ajili ya mama yake.

Msikilize Mwenyewe Kwenye Hii Video HaPA Chini.

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.