Wednesday, August 31, 2016

Utani kwa wanaume wa Tanzania na makabila yao...inasemekana eti.

  1. Wanaume wavivu zaidi Tanzania– WAZARAMO-Hawa kwa kifupi hawataki kazi za shuruba,wao hushinda vibarazan, kucheza bao, kunywa kahawa na supu ya pweza.
  2. Wanaume wabishi zaidi Tanzania- WAKINGA-Hawa kwa ubishi wanaongoza barani Africa. Mkinga anaweza kubishia hadi jina lake!! Kwa ubishi, nadhani wamechanjia!
  3. Wanaume makatili zaidi Tanzania– WAKURYA-Hawa kwa kutembeza mkon’goto ni noma. Hata ufanyaji wao mapenzi ni wa kivitavita tu!!. Usishangae kitandani ukakuta visu, virungu, mapanga nk. Hata mapenzini  utaskia akisema -“Asha, tenganisha mamiguu NILENGE shabaha”!!
  4. Wanaume wambea zaidi Tanzania– WANDENGEREKO-Aisee hawa ni shiida, usimpe siri mdengereko hata siku moja, na ukimwambia “ni wewe tu nakwambia usimwambie mtu” ndo unamuongezea spidi ya kwenda kusimulia fastaa!
  5. Wanaume wapenda pesa zaidi Tanzania– WACHAGA-Wachaga wako radhi wawaache wake zao Moshi mwaka mzima ili kusaka fedha Dsm. Moshi wanarudi Xmass. Hivyo msiulize kama watoto wanafanana na baba au jirani na kwani kitanda hakizai haramu!
  6. Wanaume wanaojali zaidi wake zao-WADIGO-Ni nadra sana kwa Mdigo kuchepuka au kumpiga mkewe.
  7. Wanaume wajuao zaidi mapenzi Tanzania-WABONDEI-Aisee Mbondei kwa mapenzi hana mpinzani. Umuonavyo njiwa mapenzini ndo sawa na Mbondei. Usemi wa “Mapenzi yalianzia Tanga” umetokana na Wabondei!!
  8. Wanaume wanaoongoza kwa misifa na swaga Tanzania-WAHAYA-Aloo wahaya hata kama ana bodaboda tu atasema “Vogue langu leo linasumbua”. Yaani hawa ni full kujishebedua na kujifanya wana elimu kubwa kumbe wengi ni makanjanja tu. Wana makidai sana hawa!
  9. Wanaume wanaoongoza kwa ulevi Tanzania-WAHEHE-Mhehe kwa pombe ni kama kachanjiwa! Mtoto wa miaka 2 huanza kupewa pombe. Yaani akilia tu anapewa! Wahehe ni Walevi mno hawa majamaa na ni nadra siku ipite bila kuutwika!!
  10. Wanaume wabahili zaidi Tanzania-WAPARE-Mpare anashindana na Mromania kwa ubahili duniani! Mpare hatumii kabisa  hela na mpare akighafilika na kuhonga mwanamke, lazma atatubu na kufunga kula siku 3!
  11. Wanaume wanaoongoza kwa “mikono ya sweta” Tanzania-WANYAKYUSA- Ni nadra sana kukuta hawa watu wametahiriwa,waliotahiriwa ni wale tu waliopita mashuleni au kuchanganyika na jamii zingine zilizostaarabika.Wengi wamewahi kukosa unyumba kwa kugundulika wana “mikono ya sweta”!!
  1. Wanaume wanaopenda ngono Tanzania-WANGONI-Mngoni kwa ngono ni kama kachanjiwa. Mngoni anaweza kutembea na wanawake wote mtaa mzima. Mngoni hata ndugu zake wakimkalia vby anatafuna tu. Marafiki wa mkewe wakijilengesha anawagegedua tu bila hiana! Mngoni mpe hela atafikisha, lakini ukimpa mwanamke ampeleke mahali hamfikishi n’goo wataishia vichakani au guest house!!
  2. Wanaume wanaoongoza kwa ushamba Tanzania-WASUKUMA-Jamani wasukuma ni washamba! Khaaa!! Yaani hadi wanauzi na kutia huruma na huwa hawajifichi! Msukuma akija kwako akakuta glasi nzuri atataka apige nayo picha! Yaani wasukuma wanaheuka kbs na upigaji picha!....mi simoooooooooo...mbereeee kwa mbere kwa mbereeee.
  3. Wanaume wanaoongoza kwa kuwa nyuma Tanzania-WAHADZABE-Hawa wako ktk dunia ya peke yao wala hawajui lolote kuhusu teknolojia.ni kama wanyama tu.
  4. Wanaume wanaoongoza kwa kupiga mizinga Tanzania-WAGOGO-Mgogo hana hiana, ye haogopi kumwomba mtu yeyote. Hata mama/baba mkwe wake anaweza kumpiga mzinga! Mgogo kwa dezo hana mpinzani
  5. Wanaume wafitini zaidi Tanzania-WAHA-Waha wana uwezo mkubwa sana wa kufitinisha marafiki ili mradi tu watengane hapo wao hufurahia. Waha wana midomo sana na wanakera mno kwani nyoyo zao zimekaa kifitinifitini tu!!
  6. Wanaume wachafu zaidi Tanzania- WASAFWA- Mijamaa hii ni michafu kuliko uchafu wenyewe! Msafwa akioga mara 2 kwa mwezi, shukuru Mungu. Na akifanikiwa kuoga mara 3 atasimulia mji mzima! Kwa Msafwa hakuna msamiati uitwao kufua!
  7. Wanaume waroho zaidi Tanzania-WALUGURU- Mluguru ni mroho hadi inakera. Wanaume wa kiluguru ndo wanaongoza kwa kushinda jikoni. Ole wake mke apike nyama afu asimwonjeshe au apike wali bila kumpa matandu mmewe- huo mtiti wake ni kama Vita kuu ya 3 ya dunia!
  8. Wanaume wanaoongoza kwa masikhara Tanzania-WAPEMBA-Hii mijamaa hata siku moja haiko serious. Wao kila jambo ni mzahamzaha na utani utani tu!..Amiii ...Yesheeeeeeee..!!!
  9. Wanaume nyoronyoro zaidi Tanzania-WANYATURU-Ni bora uwe na mwanamke.
Kama kuna nyingine unayoifahamu ongezea hapa,ila usichukulie serious kiviiileee...huu ni utani unaoakisi ukweli wa Mambo.

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.