Picha linaanza Wema Sepetu aliweka post yake kwa raha zake mwenyewe, dakika chache baadae alijitokeza shabiki maandazi ambae aliacha bonge la tusi kwenye picha hiyo.
Kitendo cha shabiki huyo mmoja kuachia tusi lake ni kama aliita timu yake kwani ghafla liliibuka kundi la watu walioacha komenti nyingi chafu kwenye picha ya mrembo huyo.
Angalia Hapa.
Hapo ndipo mrembo Wema aliamua kujibishana na mashabiki zake hao ambao mwisho wa siku waliamua kukaa kimya baada ya kuona madame amegeuka Simba.