Navy kenzo from Tanzania hit makers wa” kamatia chini song “ bado nyimbo hiyo inaendelea kuwaonyesha muongozo mzuri na kukimbiza katika vituo mbali mbali vya redio na television hasa nje ya mipaka ya Tanzania na ndani pia.
Nyimbo hiyo ambayo kwa sasa imeshika no.18 kati ya nyimbo ya 40 kwa muda wa miezi 6 katika moja ya kituo cha radio cha URBAN RADIO 245 imeonesha muendelezo mzuri wa kundi la navy kenzo hii ni baada ya nyimbo ya GAME ambayo ilishika no 4 kati ya 50 bora MTV BASE kwa mwaka 2015,hivyo Navy kenzo bado inaonesha muendelezo wa ukali wao katika tasnia ya music Africa na Tanzania kwa ujumla
Hivyo mwaka 2016 umekuwa ni mwaka wa mafanikio bab kubwa kwa navy kenzo baada ya kufanya KAMATIA CHINI LIGHTS TOUR,zaidi ya mikoa 7 Tanzania nzima
Vile vile ujenzi wa nyumba ya kisasa unaoendelea ambao utaogharimu mil700 pamoja utambulisho wa App ambayo ita deal na The industry infomation only