Muonekano Wa Faiza Ally Kwenye Promo Ya Biashara Yake
Faiza Ally si mwanamke anaekaa kusubiri Shemela wetu alipie bills zake zote, Kama uliwahi kuwaza mrembo huyu anapata mitonyo ya kujiachia kwa njia zipi, Taarifa ikufikie kama Faiza Ally ni mjasiriamali mzuri tu.
Moja kati ya mishe zinzmuingizia mpunga mrembo huyu ni biashara ya nguo za kuogelea (Costume) ambayo kazi ya kuipromote anaifanya yeye mwenyewe kama unavyoweza kuziona picha hizi.
English Figure.
Video Hii Hapa Chini Inaweza Ikachafua Hali Ya Hewa... Samahani Lakini.