Wednesday, August 24, 2016

Video | Baraka Da Prince na Naj wafundishana Kingereza huku wanakula Denda

Huku midomo ya wabongo wengi ikiendelea kusambaza ubuyu wa kunyapianyapia kama Barakah alishindwa kuongea kiingereza kwenye interview yake na MTV hali iliyopelekea mwandani wake Naj kuingikia kati na kuwa mkalimani kwenye interview hiyo, Wapenzi hao wameonyesha kutokujali na maneno hayo.
 Video hii hapa ikimuonyesha Naj na Barakah wakifundishana ngeli utaipenda.

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.