Friday, August 12, 2016

Picha : Mkali Wa Bongoflava Mirror Apata Ajali Tegeta.


Kwa mujibu wa snitch mzuri mzuri inasemekana eti, Mbongofleva kutoka Endless Fame namzungumzia Mirror YBM amepata ajali ya gari.
 Ajali hiyo inasemekana kutokea eneo la ununio ambapo gari yake iliingia kwenye mtaro na kuharibika vibaya kama unavyoona kwenye picha hapo juu.

  Mpaka sasa Mirror bado yupo chini ya uangalizi wa madaktari kwenye mojawapo ya hospitali maeneo ya Tegeta.  amabayo haikutambulika mara moja kutokana na snitch wetu kuonekana kuwa na wasiwasi 
 Lakini snitch wetu ametuhakikishia kama Mirror anaendelea vizuri. 

Taarifa zaidi Zitawaijia hapahapa kwenye Gazeti La Makorokocho.

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.