Amakweli shemela wetu Z ameamua kutuonyesha alichokipata,
Kwenye hizi picha za Mercedez Fashion Week zinakionyesha kitumbo chake kikikua kwa kasi,
Hii ni ishara tosha kama Princess Tiffah anatarajia kupata mdogo wake miezi ya hivi karibuni ambaye ataifanya idadi ya watoto wa mrembo huyo kufikia watano.