"Ni kweli sikatai nimezaliwa masikini lakini si sababu ya mimi kufa masikini" ni moja kati ya lines zinapatikana kwenye Ngoma "Take Care" ya G Classy aliyowashirikisha wakali wengine kama E-Burn na hitmaker wa ngoma ya Mboga Saba Mr. Blue.
Bonyeza Play Hapa Chini Kuisikiliza.
DOWNLOAD AUDIO FILE:
Baada ya kuisikiliza ngoma hii unaweza kuacha maoni yako hapa kwani Rappa G Classy atapita seetheafrica.com kucheki na comments zenu wote.