Rapper Common ameachia single hii mpya "Lovestar"akiwashirikisha Marsha Ambrosius na PJ.
“Our fragrance is patience,” .....“We can major in communication /
Related like cousins, though we kissin’ though / Love can be sick or
medicinal / A doctor of it / You gots to love it / God body language, I
be spittin’ while we fuckin’.” .Anasikika Common aki-rap.
Wimbo unatarajiwa kuwemo kwenye album yake mpya tangu alipoachia album yake ya mwisho iliyofahamika kama "Nobody's Smiling" iliyotoka mwaka 2014.