Wednesday, July 24, 2013

NEW SONG : NEY LEE - NIPE MUDA PRODUCED BY MSWAKI


 Hii ni Brand New Track kutoka Mwanadada Ney Lee, moja kati ya wasanii walioshinda katika shindano linalo endeshwa na Clouds Media Group (Clouds fm, Choice fm na Prime Time Promotion) kupitia tamasha la Serengeti Fiesta 2012, track yake ya kwanza inaitwa Umekwenda na ya Pili ndo hii inaitwa Nipe Muda production ya Producer Mswaki, skza kwa kituo muziki mzuri kutoka kwa Ney Lee

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.