Thursday, September 1, 2016

Music | Mfanano Wa Ngoma Za Vanessa Na Reekado Banks Unaleta Maana


Jana August 31 ilikua siku ambayo Label ya Marvins inayoongozwa na mtu mzima Don Jazzy ilifanya "Listening Party ya Albamu "The Spotlight" ya mshikaji Reekado Banks.





DOWNLOAD
Move ni ngoma namba 11 kwenye albamu "The Spotlight" ya Reekado Banks ambayo ameshirikiana na mrembo wa Bongoflava Vee Money.

 Mpaka kufikia mchana wa Septemba1 Albamu hiyo the spotlight imekua ni albamu ambayo inaongoza kwa kununuliwa kwenye iTunes nchini Nigeria. 

  aina ya uimbaji uliotumika kwenye ngoma hizi kwa kiasi fulani kama unaelekeana,

Hii
Kwangu naiona kama oportunity kwa wasanii wa bongo kuanza kuambukiza
utamaduni wa bongoflava kwa mataifa mengine kama alivyofanya VeeMoney,
 

mkipata nafasi kama hii fanyeni kweli,

  Congratulation Kwa Miss Vee Kwa kulifanikisha hilo kimyakimya,

Nina Imani ukirudi Tanzania kuna zawadi unatuletea..(Natamani Iwe Hivyo)


Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.