Baada ya kukaa kimya kwa muda hatimae mkali wa miondoko ya ragger kutoka nchini Nigeria Burna Boy amerudi na smash video inayoitwa "Pree Me".
Kwenye video hii Burna Boy asikika akiimba juu ya maisha hasa usaliti na wivu miongoni mwa marafiki..."Lately I've been on my toes, enemies been on a mission/ Fuck 'em I'ma do the most, see them multiplying.".Anasikika Burna Boy.