Showing posts with label Music and Video. Show all posts
Showing posts with label Music and Video. Show all posts

Friday, December 30, 2016

Video: Nasty'C - Pressure (Official Music Video)

Kutoka ardhi ya Makaburu na Wazulu Bondeni, South Afrika, Bw'Mdogo anaitwa Nasty'c hii hapa chupa ya ngoma yake mpya "Pressure" Bonyeza play button hapo chini, Halafu acha komenti zako.




Monday, October 3, 2016

Tegemea Kumsikia Ali Kiba Kwenye Koilabo Na Navy kenzo


Baada ya KAMATI CHINI pamoja na nyimbo ya GAME kupenya katika mipaka ya Afrika mashariki na Afrika kwa ujumla kundi matata la muziki kutoka TANZANIA linaloundwa na couples wawili AIKA pamoja na producer bora wa mwaka 2015-2016 NAHREEL wameingia jikoni na kupika hits nyingine kibao ikiwemo colabo ambayo tayari imefanywa pamoja na ali kiba


 Lakini pia Navy kenzo limekuwa kundi pekee ambalo limechaguliwa kutoka TANZANIA kupeperusha bendera  kwenye msimu mpya wa nne wa COKESTUDIO AFRIKA ambayo inafanyikia nchini kenya


Vile vile kundi hilo limekuwa nominated katika tuzo mbili  kubwa AFRIKA MTV MAMA zitazofanyika october 22 SOUTH AFRICA ukumbi wa ticket pro Dome pamoja na wats up tv africa video music award 2016 za GHANA




Hivyo wanawaomba mashabiki wao kuwa pigia kura  kama kundi bora kutoka Afrika ili wapate kunyakua tuzo hiyo





Saturday, September 10, 2016

Video | Barnaba Classic - Lover Boy (Official Music Video)

Ni muimbaji Barnaba tene kwenye tambala lako iwe simu laptop au tv ankupatia nafasi ya kukiangalia kichupa cha hitsong yake Lover Boy, Kichupa Kimefanyika Kwetu Studio.

Enjoy Nayo:






Mama WEMA Sepetu Adai Man Fongo Ni Mchafu Hajui Kuoga:

Friday, September 9, 2016

Music | Tid Ft. Joh Makini - Confidence (Official Music Video)

Baada ya audio ya ngoma "Confidence" ya mnyama TID aliyowashirikisha Mwamba Joh Makini na Dully Sykes kufanya vizuri kwenye vituo tofauti vya radio na mitandao mbalimbali hatimae Video rasmi ya ngoma hiyo imeachiwa rasmi.




ULIONA HII YA WOLPER AKIZICHEZEA NYETI ZA HARMONIZE HADHARANI?




Music | Gclassy - Repete (Official Music Video)

Rapa na muimbaji Gclassy kutoka YGA Label ameachia kichupa cha ngoma yake mpya "Repete" Video imefanyika Dar es salaam Tanzania na Director Dearmant.
 Repete inakua ni video yake ya nne.
 UNAWEZA KUIANGALIA HAPA CHINI:



Tuesday, September 6, 2016

NEW VIDEO:Burna Boy,'Pree Me".

Baada ya kukaa kimya kwa muda hatimae mkali wa miondoko ya ragger kutoka nchini Nigeria  Burna Boy amerudi na smash video inayoitwa "Pree Me".

Kwenye video hii Burna Boy asikika akiimba juu ya maisha hasa usaliti na wivu miongoni mwa marafiki..."Lately I've been on my toes, enemies been on a mission/ Fuck 'em I'ma do the most, see them multiplying.".Anasikika Burna Boy.




 

Wednesday, August 31, 2016

Video | Rayvanny - Natafuta Kiki

Baada ya kusubiri kwa muda mrefu hatimaye kiu ya mashabiki wa msafi Rayvanny all the way from Mbeya Tanzania imekatika baada ya muimbaji huyo kuachia video rasmi ya wimbo wake natafuta kiki.
Msanii Rayvanny wa Label ya Wcb Wasafi ameachia rasmi video ya wimbo wake Natafuta kiki uliotoka takribani miezi miezi mitatu iliyopita.
 Huenda video hii ikaifanya Natafuta Kiki kurudi kuwa hitsong kutokana na umakini ambao uongozi wa rayvanny na Kwetu Studio wameuonesha kwenye kichupa hiki.


Balaa La Faiza Ally Kwenye Promo Ya Biashara Yake




Thursday, August 18, 2016

Music | Jidenna - Chief Don't Run (Official Music Video)



Jidenna ametuangushia kicupa cha ngoma yake mpya Chief Don't Run
Fanya kama unakiangalia hapo halafu niambie unakionaje.

ANGALIA HAPA VIDEO MPYA YA SAMATA A- KODO


Thursday, August 11, 2016

Video : Dully Sykes Ft. Harmonize - Inde


Baada ya kuitambulisha rasmi kwenye XXL ya cloudsfm, Dully Sykes ameamua kuiachia pia video yake Mpya "Inde" aliyomshirikisha Harmonize Kutoka WCB Wasaafi Enjoy Nayo Hapa.

Wednesday, February 26, 2014

VIDEO: HIKI NDIO CHANZO CHA OSTAZ JUMA KURUHUSU PNC AMPIGIE MAGOTI

Ostaz akiwa amekaa na PNC aliyepiga magoti

Baada ya aliyekua Boss wa zamani wa msanii PNC kupost picha zinazomwonyesha msanii akiwa amempigia magoti ili kumwomba msamaha Boss wake (Ostaz Juma na Musoma) amrudishe kwenye management yake ya mtanashati imekua gumzo wengi wakihoji uhalali wa ostaz juma kufanya kitendo hicho walichokiita cha kinyanyasaji, sasa Ostaz Juma amepiga story na www.makorokocho.co na kusema huo si unyanyasaji na mbona hata vijijini wanawake hupiga magoti kusalimia wanaume? naendelea kunukuu "PNC anajua amefanya nini, kwasababu anataka msaada wangu wa kipesa so mtakacho cha uvunguni sharti ainame, awali nilitumia zaidi ya milioni 20 kumsaidi PNC ki muziki na mkwanja wote huo haujarudi na matokeo yake akawa anaenda kufanya Interview bila kuniambia, bila hata kunishukuru kwenye media kwa kunitaja.

Monday, February 17, 2014

VIDEO: SHILOLE AMTEMBELEA MAMA YAKE ANAYEISHI KIJIJINI IGUNGA

Shilole
Msanii Zuwena Mohammed 'Shilole' Februari 13, mwaka huu alimtembelea mama yake mlezi aitwaye Hamisa anayeishi Igunga Mjini mkoani Tabora alipokwenda na wasanii wenzake akina Madee na Queen Darleen kwa ajili ya shoo ya Siku ya Wapendanao.
Cheki Video ya Tukio zima,
Source: Global publishers

Thursday, February 13, 2014

MAHUSIANO YA CRAZY GK NA DIVA SIO SIRI TENA (NI PENZI KATI YA GANGSTAR NA SISTA DU)

Ilikua inasemekana weee wakaulizwa wakachomoa hatimaye Mahusiano ya kimapenzi kati Diva na King Crazy GK yako wazi wazi sio siri Tena kitu Pyaaaaa  baada ya Mtangazaji huyo wa Clouds fm kupost picha kwenye ukurasa wake wa Instagram huku anaonekana Kamanda wa East coast Team akim'bandika busu moja la shavu linaonekana kuwa linatoka Kumoyo,
Post ya Diva on Instagram
 Patamu hapo!!  kwa haraka haraka usingeweza hata kuhisi kama watu hawa wawili wanaweza kushare Apple kutokana na GK kuwa Gangstar flani hivi na Diva kuwa na mtazamo wa kisista Duu sanaaaa, lakini ndo hivyo mambo hadharani, i hope siku moja watakuja kufunguka jinsi ambavyo walikutana mpaka wakaamua kuanzisha mahusiano, nawatakia maisha mema kitu mpaka ndoa miaka mia naneeeeeeeeeeeee...................

Wednesday, February 12, 2014

VIDEO : BRAND NEW ZAIID - SIJULIKANI


Brand New MUsic Video kutoka kwa Rapper Zaiid Mnete inaitwa Sijulikani, Enjoy Flava kutoka Tamaduni Music

Monday, February 10, 2014

VIDEO: Uzinduzi Wa Didas Facion Entertainment (Internet Radio & Tv) United Kingdom

Didas Facion wa Turabi akiwa Ubalozi wa Tanzania
Mwaka Jana Mwanadada ambaye ni Promota Mkongwe wa Muziki wa kizazi Kipya nchini Uingereza Mzalendo wa Ki Tanzania Didas Facion alienda Mile nyingi zaidi mbele kwa Kuanzisha Didas Entertainment ikiwemo Internet Radio & TV, sherehe za uzinduzi huu wa ki V.I.P zilifanyika Milton Kiln Farm Pub, Milton Keynes United Kingdom sherehe ambazo zilihudhuriwa na watu wengi, uzinduzi huo ulienda sambamba na uzinduzi wa Webisite ya www.didasentertainment.com  Pongezi nyingi kwake na kwa Team yake pia, manake kama sikosei karibu miaka miwili iliyopita Didas alianza na radio ya mtandaoni nakumbuka kuskiza baadhi ya Vipindi kupitia mitandao mingine, lakini kutokana na ujio wa Website yake bila shaka vipindi sasa vitaanza kuruka humo, lakini ongezeko la Tv pia litarahisisha wasanii Wa Bongo Flava na waburudishaji watakaotembelea U.K wataonekana humo, mpango mzima wa Uzinduzi cheki video hapo chini uone ilivyokua siku hiyo

Monday, May 27, 2013

BEN POL : NGOMA YANGU MPYA "JIKUBALI" SIJAI COPY NA KU PASTE KUTOKA KWA THE SCRIPT

 
Baada ya kuwepo rumors kuwa RnB Singer Ben Pol ame copy na kupaste wimbo wake mpya alioutoa hivi karibuni "Jikubali" fununu zikasambaa mtaani kuwa eti ngoma hiyo inafanana na wimbo unaoitwa Hall of Fame uliotoka mwezi wa nane mwaka 2012 na kuimbwa na kundi linaitwa The SCRIPT wakiwa wamemshirikisha Will.i.am , sasa Ben PoL amepangua shuti na kusema kuwa haujui huo wimbo, na yeye hajacopy kokote, ila alichofanya wakati ana record ngoma hiyo mpango wake ulikua ni kufanya wimbo wenye melody nyepesi na anahisi ndio maana watu wanaufananisha na "Hall of Fame", Ben akaongeza kuwa wimbo wake haufananishwi tu na Hall of fame bali kuna nyingine kama tatu zaidi watu wanamwambia zinafanana na ngoma yake, na yeye kabla ya kuutoa alijua tu akifanya Melody nyepesi kama hiyo ambayo hata mtoto rahisi kushika basi yatasemwa mengi.
Na kwa mujibu wa changamsha genge za mtaani , zinadai kuwa eti kuanzia Idea ya kinachozungumziwa ndani ya nyimbo hizo mpaka melody zake zinafanana kinoma noma.

Iwapo itathibitika kuwa Ben PoL amecopy na kupaste ngoma yake, basi itakua ni aibu na kashfa kubwa kwake kwani kwa sasa hivi ndo anachukuliwa kama ndo msanii mkali wa RnB Tanzania yani kama taji la ufalme wa RnB bongo basi yeye ndo analishikilia na wengine wanafata kama Belle 9 na wengineo.
Ben PoL pia ametajwa mara 5 katika categories mbalimbali za Kili music awards.
Source: Gazeti la Makorokocho.
Iskize JIKUBALI YA BEN POL:


KISHA ULINGANISHE NA UNACHOKISKIA KATIKA VIDEO HII :


Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.