Petitman amezidi kuonyesha kufurahishwa na kazi za muziki wa Alikiba ambae anatajwa kuwa hasimu mkubwa wa Diamond kaka wa mke wake(Esma Platnumz).
Mbali na kuhakikisha colabo ya Nuh Mziwanda na Alikiba - Jike Shupa imeenda Pettitman ameonyesha mahaba yake tene kwenye ngoma Nisamehe ya BarakaThePrince aliyomshirikisha Alikiba,
Video hii hapa inamuonyesha petit akicheza na kuimba wimbo huo.
Diamond na Alikiba wametajwa kuwa kwenye beef ya muda mrefu ambayo haijulikani chanzo na imepelekea hata kupungua kwa mahusiano baina ya watu wao wa karibu pamoja na kuwagawa mashabiki wa muziki wao kitu ambacho mshikaji wet Petit amekikataa licha ya kuwa karibu na familia ya Jini Diamond Platnumz.
KAMA BADO HAUJAIPATA NISAMEHE YA BARAKAH NA ALIKIBA DOWNLOAD HAPA CHINI: