Showing posts with label Gossip. Show all posts
Showing posts with label Gossip. Show all posts

Monday, October 17, 2016

Picha | Beka Wa BongoMovie Apata Jiko, Mastaa Waitosa Harusi Yake..

harusi-ya-becka-8
Jana ilikuwa ni siku ya sherehe ya ndoa ya msanii wa filamu Bongo, Bakari Makuka ‘Beka’ ambapo ilifana vilivyo huku waalikwa wakila, kunywa na kuserebuka vilivyo.
Sherehe hiyo ilifanyika katika Ukumbi wa Prime Rose uliopo Mbezi Beach, Dar ikiwa ni baada ya kufunga ndoa na mkewe Nasra, Ijumaa iliyopita katika msikiti wa Ununio, Jumamosi ikafuatiwa na sherehe ya Maulid nyumbani kwao Beka, Sinza, Dar.
Katika sherehe hiyo mastaa wenzake ni kama walisusia kwani aliyekuwepo ni Kulwa Kikumba ‘Dude’ ambaye alikuwa bestman na Dk. Cheni ambaye alikuwa mshehereshaji jambo ambalo liliwashangaza baadhi ya wageni waalikwa kwani siyo kawaida ya wasanii kutotokea kwenye shughuli kama hiyo.
Alipoulizwa kuhusiana na hilo kwa nini wasanii wenzake hawakujitokeza, Beka alisema;
harusi-ya-becka-1
Bakari Makuka ‘Beka’ na mkewe Nasra wakiserebuka wakati wa harusi yao.
harusi-ya-becka-2
Beka akionyesha umahiri wake katika kusakata rhumba.
harusi-ya-becka-3
Burudani zikiendelea wakati wa harusi hiyo ambayo wasanii wengi waliisusia.
harusi-ya-becka-4
Kulwa Kikumba ‘Dude’ ambaye alikuwa bestman (kushoto) katika pozi na bibi harusi.
harusi-ya-becka-5
Bibi harusi, Nasra naye akisakata rhumba wakati wa sherehe hizo.
harusi-ya-becka-6
Nasra katika pozi.
harusi-ya-becka-7
Wageni waalikwa wakitoa mkono wa shukrani kwa maharusi.
harusi-ya-becka-9 harusi-ya-becka-10
Maharusi katika pozi.
harusi-ya-becka-11
Maharusi pamoja na wanakamati wakipozi wakati wa harusi hiyo.
harusi-ya-becka-12
MC wa sherehe hiyo, Dk. Cheni akiwa kazini.
harusi-ya-becka-13
Maharusi wakitoka ukumbini baada ya shughuli.

Wednesday, September 14, 2016

Nisamehe Ya Baraka Na Alikiba Yamchanganya Petittman

Petitman amezidi kuonyesha kufurahishwa na kazi za muziki wa Alikiba ambae anatajwa kuwa hasimu mkubwa wa Diamond kaka wa mke wake(Esma Platnumz).
 Mbali na kuhakikisha colabo ya Nuh Mziwanda na Alikiba - Jike Shupa imeenda Pettitman ameonyesha mahaba yake tene kwenye ngoma Nisamehe ya BarakaThePrince aliyomshirikisha Alikiba, 

Video hii hapa inamuonyesha petit akicheza na kuimba wimbo huo.



Diamond na Alikiba wametajwa kuwa kwenye beef ya muda mrefu ambayo haijulikani chanzo na imepelekea hata kupungua kwa mahusiano baina ya watu wao wa karibu pamoja na kuwagawa mashabiki wa muziki wao kitu ambacho mshikaji wet Petit amekikataa licha ya kuwa karibu na familia ya Jini Diamond Platnumz.

KAMA BADO HAUJAIPATA NISAMEHE YA BARAKAH NA ALIKIBA DOWNLOAD HAPA CHINI:





U Heard | Povu La Bwana Wa Zamani Wa Malaika Kwa Hanscana Kuhusu Video Ya Rarua


Aliyekua mpenzi na msimamizi (Manager) wa mwanamuziki malaika ambae siku za nyuma tuliwahi kusikia alipelekwa polisi na mpenzi wake huyo wa zamani kutokana na mzozo uliozuka kwenye kazi yao, leo amesikika kwenye You heard ya Clouds FM akimtuhumu mkali wa vichupa vya bongo ndugu yetu Hanscana kuikabidhi video hiyo kwa Malaika pasipo makubaliano kati yao. Msikilize na maneno yake yasiyo ya mchezomchezo.




Malaika Amwaga machozi Na kudai kutishiwa Kuuwawa Kwa Bastola Na aliyekuwa mpenzi wake





Saturday, September 10, 2016

Zari Awachamba Wenye Wapenzi Hewa



"Watu na Bae zetu... nyaku nyakus can't even post their own. Told you, if he can't claim you in public, don't give him the good good in private. U know what that means right & I bet u know where that leaves you 😂😂😂😂😂. Tag your bae and wish him or her a good night.#ToWhomItMayConcern"


"Watu na wapenzi wetu.. nyaku nyakus hawawezi hata kupost wa kwao. Eti kama hakufanyi uonekane nae basi usimpe matamu mkiwa chobingo.
Ndicho  aliandika mwanamama zari kwenye picha yake aliyopost akiwa na baba mtoto wake Diamond Platnumz.
 Kutokana na kijembe hicho kutomtaja muhusika moja kwa moja shilawadu itawaletea stori kamili iwapo kuna yeyote atatokwa na povu.



JACKLINE WOLPER AZICHEZEA NYETI ZA HARMONIZE HADHARANI BILA AIBU:



Wednesday, September 7, 2016

Video | Beef Ya Manfongo Na Mama Wema, Sholo Mwamba Atajwa Kuwa Chanzo.

Linapokuja suala la muziki mzuri hakuna mtu anaweza kutia neno akapingana na ukweli amabao wengi wameamua kuunga mkono,
 Muziki wa Singeli umekuepo kwa kipindi kirefu lakini design kama wabongo tulio wengi tumeanza kuuelewa kupitia waimbaji watu kama Man Fongo na Sholo Mwamba.
 ManFongo ni mshikaji ambae anazidi kujitengenezea Fanbase hasa kupitia shows za Fiesta ambazo zinaendelea mikoani.
 Mkali huyo wa Ngoma ya "Hainaga Ushemeji" amejikuta akiingia kwenye bifu zito na mama wa mrembo Wema Sepetu baada ya kuongea kile kilichotajwa kuwa hakimuhusu huku mpinzani wake Sholo Mwamba akitajwa kuwa chanzo cha beef hilo.
 Ubuyu uliozagaa unadai kuwa ManFongo aliongea vibaya kuhusu Mama Wema kilichopelekea Mam huyo kutokwa na povu lisilo la polepole.
 GossipCop Soudy Brown hakusita kuwatafuta wawili hao ili watuweke sawa.

 BONYEZA PLAY KWENYE HII VIDEO UMSIKIE MANFONGO NA POVU LA MAMA WEMA:


MALAIKA ADAI MPENZI WAKE AMETISHIA KUMUUA:

Sunday, September 4, 2016

Video |Eti Dancer Wa Msami Atajwa Kuwa Na Jinsia Mbili.


Source yetu imetupenyezea ubuyu huu asubuhi ya leo huku ikitusisitiza kuangalia kipande hiki cha video ya dancer huyo akifanya yake stejini.
 Baada ya kuangalia hatukupaata majibu moja kwa moja hivyo tukaamua kushare na nyinyi wambea wenzetu ili tusikie kutoka kwenu.

Angalia Video hapa chini.



Baada ya kuangalia video hiyo unaweza ukatuachia komenti yako hapo chini utuambie ulichokiona.




ULIMUONA HARMONIZE ALIVYOICHEZA SOWETO BABY YA MAPHORISA?






Friday, September 2, 2016

Video | Utapenda Harmonize Alivyoicheza Soweto Baby

Huyu Hapa Anaetajwa Kulivuruga Penzi La Masogange.

Reginald Raymond maarufu Regythebest anaetamba na ngoma #KampaKampaTena aliyomshirikisha Kimbunga Mchawi, Hivi karibuni kumekua n ubayu unaomuhusisha Queen wa vichupa vya bongoflevani Agnes Masogange,
 Sasa unaambiwa kuwa mambo yamefika pabaya baada ya muigizaji Rammy Galls (ambae ni mpenzi wa Masogange) kuzikamata picha chafu za masogange akijiachia na mbongofleva Reggythebest Kama Unavyoweza kuziona hapa chini.

Masogange na Reggy.


Watu na Raha zao.
Ili kupata uhakika wa stori basi makorokocho.co imekuletea interview ya +SEE THE AFRICAN TV  na RegytheBest Msikilize Mwenyewe Akieleza Ukweli Wa Picha Hizo.


Baada ya kumsikia Reggy Iangalie Hapa Video Yake ft. Kimbunga Mchawi - Kampa Kampa Tena.



Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.