Wednesday, September 14, 2016
U Heard | Povu La Bwana Wa Zamani Wa Malaika Kwa Hanscana Kuhusu Video Ya Rarua
Aliyekua mpenzi na msimamizi (Manager) wa mwanamuziki malaika ambae siku za nyuma tuliwahi kusikia alipelekwa polisi na mpenzi wake huyo wa zamani kutokana na mzozo uliozuka kwenye kazi yao, leo amesikika kwenye You heard ya Clouds FM akimtuhumu mkali wa vichupa vya bongo ndugu yetu Hanscana kuikabidhi video hiyo kwa Malaika pasipo makubaliano kati yao. Msikilize na maneno yake yasiyo ya mchezomchezo.
Malaika Amwaga machozi Na kudai kutishiwa Kuuwawa Kwa Bastola Na aliyekuwa mpenzi wake
Comments System
facebook