Wasanii Rich Mavoko, Rayvanny na Harmonize wanaomilikiwa na Label WCB Wasafi ya mtu mzima Diamond Platnumz wamekua na tamasha linalojulikana kam #WCBMileleConcert lilomalizikausiku wa jana kipande cha Mombasa Kenya.
Sasa unaambiwa wakati wakali hawa wanaelekea uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta washikaji walipewa Escort ya Polisi wa Kenya.
Heshima kama hii hawajahi kupewa wanamuziki wetu wakiwa nyumbani, Hii maana yake nini?, Ni kama serikali haiwatambui wanamuziki wetu kama watu maalum kwa Taifa Letu?
ANGALIA RAYVANNY ALIVYOPNGA KUMSHANGAZA MAMA YAKE: