Mkali wa hitsong "Nagode" Yemi Alade" wa Nigeria bado ana ile mizuka ya heshima nyingine aliyopewa na mashabiki wake baada ya ushindi wa Tuzo za MTV Afrika zilizofanyika wikiendi iliyopita na kumfanya mkali huyo kuendelea kushika nafsi hiyo kwa muhula wa pili.
Katika kuthibitisha hilo Yemi Alade ametumia ukurasa wake wa mtandao wa Twitter kwa kuwaambia mashabiki wake wajiandae kwa ujio wa video yake na kundi la Micasa Kutoka Afrika Kusini.
"
🌟🌟🌟🌟🌟🗝🗝🗝#GETTHROUGHTHIS VIDEO COMING SOON, #YEMIALADE / @MiCasaMusic— Yemi Alade #Johnny (@yemialadee) October 26, 2016
Nigeria - SouthAfrica #AFRICATOTHEWORLD @MTNza @EffyzzieMusic pic.twitter.com/sHYmcVYlSb