Monday, October 24, 2016
AUDIO:"Runnin",Pharrel Williams.
Mwanamuziki Pharrel Williams ameichia wimbo mpya unaitwa "Runnin" utakaotumika kama "Sound Track" kwenye filamu inayofahamika kama "Hidden Figure" itakayomkutanisha Mwanamuziki Janell Monae,Muigizaji Taraj P.Henson na Octavia Spencer ambao wanaoekana kwenye 'Artwork Cover' ya wimbo huo.Filamu hiyo inaelezea ushiriki na mchango wa wanawake kwenye shirika la utafiti anga nchini Marekani (NASA),ikirajarajiwa kuingia sokoni mwezi Desemba,2016.
"The idea is actually true…It’s a story about these women in the early 1960s who changed NASA.".Alisema Skateboard P mmoja wa watayarishaji wa filamu hiyo.
Comments System
facebook