Sunday, October 23, 2016

INSTAGRAM: Eddy Kenzo aziponda tuzo za MTV-Mama Awards,2016.




 Mwanamuziki kutoka nchini Uganda,Eddy Kenzo  ameziponda tuzo za MTV-Mama Awards,2016 kwa kudai kuwa zilitolewa kwa upendeleo.


Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram,Kenzo ambae ni mshindi wa tuzo ya BET-Viwers Choice Awards amedai kuwa waandaji wa tuzo hizo waamekua wakiwaambia wanamuziki wanaowania tuzo hizo kuwahamasisha mashabiki wao kupiga kura ila wamekua hawatoi tuzo zao kulingana na matokeo ya kura za mashabiki.


Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.