Saturday, December 17, 2016

PICHA:Hii ndiyo simu ya milioni 16.5 anayotumia Bilionea Alhaji Dangote.


Hiyo ndio simu anayotumia Bilionea Alahaji Aliko Dangote.Inaitwa Nokia Vertu Signature. Bei yake ni kati ya $5000 hadi $7500.Ukibadilisha kwa pesa ya madafu ni kama  milioni 16.5Tsh. hivi.......Alhaji sio mtu wa ki-spoti spoti......Inasemekana lakini..!!




Mfanyabiashara huyu raia wa Nigeria anamiliki kampuni tanzu ya mafuta inayofahamika kama Dangote Group yenye makao yake makuu nchini Nigeria.

Kufikia June mwaka 2016 kwa mujibu jarida la Forbers,alitajwa kuwa na ukwasi unaokadiriwa kufikia kiasi cha dola bilioni 15.1 akiwa amewekeza kwenye nchi mbalimbali barani Afrika ikiwemo Tanzania ambapo anamiliki Kiwanda cha kutengeneza 'Ciment' kilichopo mkoani Mtwara.

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.