Hii ndo ile video ya Ommy Dimpoz aliyoishoot nchini Uingereza mwanzoni mwa mwaka huu 2014 na kuiachia exclusive kwenye kituo kikubwa cha Tv Africa MTV, Director aliyesimamia Video hii ni Mo Mussa ambaye ni mnigeria mwenye makazi yake United Kingdom, amefanya kazi nyingi kali za wasanii wakubwa Nigeria ambao ndio wanaoongoza kwa kufanya vizuri katika game la muziki wa kizazi kipya Africa.