Saturday, January 14, 2017
Joti Au Darassa Nani Kuivunja Rekodi hii?
Mchekeshaji Joti amerudia video ya ngoma Muziki ya Rapa Darassa, Tangu kupandwisha kwenye mtandao wa youtube hapo jana video hiyo imekua gumzo kibongobongo imeendelea kuangaliwa mara nyingi ndani ya muda mfupi kama ilivyokua kwa video halisi ya wimbo huo ..Video ya Joti Inashikilia namba moja kwa video zinazotrend bongo).
Kama Haukua umeiona cheki nayo hapa.
Unafikiri Joti ataweza kuivunja rekodi ya Darassa ambayo iliingizwa kwenye orodha ya wimbo wa Hip Hop uliotazamwa mara nyingi zaidi kwa muda mfupi?
(Darassa - Muziki (Live EATV Awards)
Comments System
facebook