Adsense

Followers

Fashion

Monday, June 26, 2017

Vedastus Mpemba - Furaha Yangu (Official Music Video)



Friday, February 10, 2017

Young Dolph - Baller Alert (Official Video)

Agosti 11,1985alizaliwa  Adolph Thornton, Jr, maarufu kama Young Dolp, Jamaa ni rapa mmarekani, Mwezi kama huu yaani February 2016 aliachia albamu yake "King Of Memphis" ambayo ilifanikiwa kuingia kwenye chati za Billboard 200 ikishika namba 49. Pia alishirikishwa kwenye  ngoma "Cut it" ya O.T Genasis ambayo ilishika nafasi ya 35 kwenye Billboard Hot 100. 




O.T. Genasis "Cut It" Feat. Young Dolph (WSHH Exclusive - Official Music Video)






Februari 2, mwaka huu Young Dolph amedodndosha Mixtape "GELATO" yenye jumla ya ngoma 14.

 Ball Alert ni ngoma namba mbili kwenye mixtape hiyo na imepata heshima kwa kuwa ngoma ya kwanza kufungua pazia la video za ngoma hizo.


Kwenye "Ball Alert" Dolph ameamua kuonyesha maisha yake halisi, Icheki hapa chini uone mnyamwezi anavyojiachia:



Saturday, January 28, 2017

Mrembo Wa Tanzania Akutana Na Mrembo Wa Kimataifa

Mrembo wa Tanzania Jihan DiMack yupo nchini Ufilipino ambako anaiwakilisha Tanzania kwenye mashindano ya warembo wasomi wa vyuo vikuu.


 Moja kati ya vitu ambavyo mrembo huyu anapata nchini humo ni fursa ya kukutana na warembo wengine kutoka mataifa mbalimbali ambao kwa uzoefu wao wanabadilisha mawazo na kupeana mbinu mbalimbali za urembo,


 Zali ambalo Miss Universe Tanzania (Jihan DiMack) amekutana nalo ni kukutana na mrembo wa kimataifa kutoka marekani Ashley Graham.






Ashley Graham ni mrembo mwenye umri wa miaka 28, lakini heshima ambayo anayo mrembo huyo ulimwenguni sio kitu kidogo,



 Ashley amewahi kufanya kazi na Wilhelmina Models, na Ford Models ambao ni mawakala wakubwa wa urembo dunianai.


Ashley pia amewahi kuzipamba kurasa za mbele za majarida kadhaa yakiwemo YM na Harper's Bazaar, GlamourElle  Vogue Magazine.


ANGALIA HII VIDEO YA JIHAN DIMACK NA ASHLEY GRAHAM WALIPOKUTANA: 









Hii ni fursa kwa mrembo wetu Jihan, Huenda uwepo wa Ashley kwenye macho yake ukamuongezea kitu kwenye uelewa wake ambacho moja kwa moja kitamsaidia kusonga mbele zaidi kwenye Career yake.



Watanzania Tunaombwa Kumpigia Kura Kwa wingi kupitia Tovuti ya Miss Universe ambayo ni missuniverse.com



Au kwa watumiaji  wa SmartPhone unaweza Kudownload App Ya Vodi kwa kubofya Hapa.

Imeabaki siku moja tu zoezi la upigaji kura lifungwe,. 




Huu Ndio Ujio Mpya Wa Wema Sepetu Kwenye Mitandao Ya Kijamii



Baada ya ukimya mrefu kwenye mitandao ya kijamii  Tanzanian Sweetheart (Sepenga) amerudi kwa kishindo.

Mapema asubuhi ya leo Madame Sepenga ametupia picha kwenye ukurasa wake wa instagram huku akiahidi kuja na kitu kwa ajili ya mashabiki wake kwa mwaka huu.






Saturday, January 14, 2017

Music | Tea Sigwa - Nyota Ndogo (Audio)

http://www.audiomack.com/song/frank-pande/nyota-ndogo-enkytainment


Joti Au Darassa Nani Kuivunja Rekodi hii?



Mchekeshaji Joti amerudia video ya ngoma Muziki ya Rapa Darassa, Tangu kupandwisha kwenye mtandao wa youtube hapo jana video hiyo imekua gumzo kibongobongo imeendelea kuangaliwa mara nyingi ndani ya muda mfupi kama ilivyokua kwa video halisi ya wimbo huo ..Video ya Joti Inashikilia namba moja kwa video zinazotrend bongo).
 

 Kama Haukua umeiona cheki nayo hapa.



Unafikiri Joti ataweza kuivunja rekodi ya Darassa ambayo iliingizwa kwenye orodha ya wimbo wa Hip Hop uliotazamwa mara nyingi zaidi kwa muda mfupi?





 (Darassa - Muziki (Live EATV Awards)



Friday, January 13, 2017

Angalia Nyomi La Kim Kardashian Kwenye Darasa La Urembo

 Unaambiwa hapakubaki nafsi ya kiti japo kimoja mara baada ya mwanamitindo Kim Kardashian kupewa fursa ya kutumika kama mfano wa ufanyaji Make-Up wa mbunifu Mario 

Dedivanovic kwenye jiji la Dubai.



 
 Tukio hilo lilitokea usiku wa Alhamisi iliyopita baada ya kukubali kuwa mfano wa wapenzi wa bidhaa hiyo kujifunza jinsi ambavyo wataweza kuitumia. Tukio ambalo limemfanya mwanamitindo huyo na ke wa rapa Kanye kuwa gumzo pande za Dubai.



Agalia Hii Video Ya TMZ Hapa:





Stellina Give me that money (Official Music Video) 


































 

Music | Sarkodie - Asante Ni

Sarkodie - Asante Ni
Multiple award winner and Ghana’s heavyweight rapper, Sarkodie has dropped a new banger titled – Asante Ni.



On a beat produced by Magnom, Sarkodie brags about the wealth and legacy of the Ashanti Kingdom and its people.

http://www.audiomack.com/song/frank-pande/asante-ni-prod-by-magnom

Filled with local drums, Sarkodie talks about the legends of the Ashanti Kingdom including Opoku Ware and Nana Agyeman Prempeh, their indigenous culture, cousin, lands, bravery and more.
The multifaceted rapper in September released his fourth album – Mary which was named after his late grandmother and has since been received favourable reviews. In the same month he was ranked 8th on Forbes 2015 list of the Top 10 Richest/Bankable African artists.

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.