Baada ya ukimya mrefu kwenye mitandao ya kijamii Tanzanian Sweetheart (Sepenga) amerudi kwa kishindo.
Mapema asubuhi ya leo Madame Sepenga ametupia picha kwenye ukurasa wake wa instagram huku akiahidi kuja na kitu kwa ajili ya mashabiki wake kwa mwaka huu.