Art work ya Recovery Hadharani kwenye Twiter
Rapper kutoka Detroit nchini marekani Eminem kupitia account yake ya twiter amepost artwork ya Album yake anayotarajia kui release hivi karibuni inayoitwa “RECOVERY”
Katika art work hiyo jamaa anaonekana akitembea katika barabara kwa upweke, lakini pia kuna anaonekana ndani ya glass cube mbele Skycrapers akisoma kitabu.
Ukitaka kucheki art work hiyo pitia kwenye Twiter ujionee mpango mzima, na kaa tayari tayari kwani Recovery itatoka June 22, 2010
Monday, June 7, 2010
Comments System
facebook