Kibarua cha Dudu Baya chaota Nyasi
wiki mbili zilizopita Dudu Baya alifukuzwa kazi na kuingia mtaani, Akizungumzia ishu hiyo mkurugenzi wa kampuni ya Art in Tanzania ambayo ndio iliyokuwa imemuajiri msanii wa Bongo flava Godfrey Tumaini a.k.a Dudu Baya kama Promotional Manager, amekiri kutokea kwa tukio hilo na chanzo ama sababu ya Ze Dudu Kwenda kinyume na mkataba ambapo alitakiwa kuwa promote wasanii wa kampuni hiyo lakin yeye alikuwa akiji promote peke yake na kuwasahau wasanii wenzake.
Dudu Baya alikuwa na nafasi ya Promotion Manager katika Kampuni hiyo hivyo alipaswa kufanya promotion ama kuwatangaza wasanii waliopo chini ya kampuni hiyo, so yeye kaenda kinyume, hii ni fundisho kwetu sote, sawa sawa?
Monday, June 7, 2010
Comments System
facebook